Ukuzaji wa Kiswahili by Mbatiah

KSh928.00

In stock

Category:

Lugha ya Kiswahili inaendelea kutanda na kuenea katika pembe zote za ulimwengu. Inakisiwa kwamba lugha hii inazungumzwa na Zaidi ya watu milioni 100 ulimwenguni. Isitoshe, Kiswahili sio lugha ya mawasiliano tu bali pia ni lugha ya taifa na/au lugha rasmi katika mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kukua, kusambaa na kuimarika kwa Kiswahili kumetokana na mambo mbalimbali kama vile biashara, ushirikiano wa kimataifa, utalii na usafiri pamoja na utandawazi. Pamoja na hayo, kuna asasi nyingi ambazo zinahusika katika ukuzaji na uendelezaji wa Kiswahili kama vile bunge na vyombo vya utungaji sera, elimu, vyombo vya habari na mawasiliano, idara za Kiswahili katika vyuo vikuu, dini na sekta ya uchapishaji.

Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Show Buttons
Hide Buttons

Shop By Department

1
Hi there,
Do you have a list? Share it here and we will be happy to help...