Tikitimaji by KW Wamitila

KSh383.00

In stock

Category:

Mwandishi wa habari. Zinji, na marafiki zake, Sapna. mwanamazingira: Maya, msomi; na Kombo, polisi: wanasafiri kwenda Tikitimaji. Safari yao inachochewa na msukumo wa kuujua ukweli unaomhusu yeye na jamii yao nzima pamoja na kulifumbua fumbo la Tikitimaji. Tikitimaji ni hadithi inayosanwa kwa mtindo utakaomnasa msomaji kutoka mwanzo hadi mwisho wa hadithi hasa kwa taharuki yake. Usimulizi wake unachanganya mbinu anuwai za kisanaa ambazo zinachangia kuiunda riwaya yenye usanii wa aina yake. Hii ni riwaya ya kimazingira yenye mvuto Mkubwa.

Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Show Buttons
Hide Buttons

Shop By Department

1
Hi there,
Do you have a list? Share it here and we will be happy to help...