Sikitiko la Sambaya by “Mandila,Dinda”

KSh514.00

In stock

Category:

Sikitiko la Sambaya ni hadithi ya kuvutia inayoangazia maisha ya kijana wa kike anayejibandua shuleni na kunaswa katika ulimbo wa mapenzi. Mapenzi yanamlevya na kujipata mikononi mwa mwanamume mievi asiyejua majukumu ya nyumbani. Sambaya anakuwa mvumilivu na mwadilifu licha ya kuandamwa na safu ya dhiki. Kutokana na uozo uliomo katika jamii, Sambaya anaangamizwa na watu wenye husuda naye. Uchunguzi wa kifo chake .unampata Muronji na hatia ya mauaji na sheria inamchukulia hatua kali ili iwe funzo kwa watu wengine wenye tabia ya Kikatili.

Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Show Buttons
Hide Buttons

Shop By Department

1
Hi there,
Do you have a list? Share it here and we will be happy to help...