Shamba la Wanyama by George orwell

KSh360.00

Out of stock

Category:

Wanapomtorosha mgandamizi wao Bwana Mtiki kutoka Shamba Ibura, wanalobadilisha kuwaSHAMBA LA WANYAMA, wanyama wanatarajia watayazika maovu ya binadamu katika kaburi la sahau na kuishi kwa undugu na usawa. Kwao, “Miguu minne ni mizuri, miguu miwili ni mibaya”. Inatokeaje usemi huu kubadilika kuwa, “Miguu minne ni mizuri, lakini miguu miwili ni mizuri zaidi”?

Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Show Buttons
Hide Buttons

Shop By Department

1
Hi there,
Do you have a list? Share it here and we will be happy to help...