Paa, Tai, Paa!(Ngano kutoka Afrika) by Christopher gregorowski

KSh660.00

In stock

Category:

Mwana Tai anaposombwa na dhoruba kutoka kiotani mwake, mkulima anabahatika kumpata na kumfuga pamoja na kuku wake.   Lakini swali ni je,’huyu mwana Tai atafungika katika maisha ya kibandani kwa mkulima kama kuku au atajifunza kuruka na kuishi maisha ya akina Tai angani?   Kama ilivyotajwa na Askofu Desmond Tutu katika dibaji, hii ni ngano iliyosimuliwa kwa mguso wa kiutendaji na itawatia hamasa watoto kokote waliko ili ‘waruke na wapae kama Tai’

Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Show Buttons
Hide Buttons

Shop By Department

1
Hi there,
Do you have a list? Share it here and we will be happy to help...