Nitaolewa Nikipenda by Ngugi

KSh394.00

In stock

Category:

Tamthilia hii iliandikwa kwa madhumuni ya kusaidia kustawisha Mucii wa Muingi Muugi Kamirithu katika elimu na huduma ya jamii. Kabla ya kunyangianywa kibali cha kuigiza mchezo huu Napo mwezi wa Oktoba, 1977, wafanyakazi na wakulima wadogo wengi walikuwa wameuona ukiigizwa. Waliouigiza walikuwa wafanyakazi na wakulima wadogo wa Kamirithu, Limuru. Ngaahika Ndeenda ni tamthilia ya kuelimisha na kuhekimisha. lnazungumza kwa ujasiri juu ya maisha ya wafanyakazi na wakulima wadogo na jinsi mambo yalivyo hivi leo. Waandishi wamejaribu kuchunguza historia yetu kutoka wakati wa Vita vya Uhuru ambapo wazalendo wa Mau Mau walipambana dhidi ya mabeberu na vibaraka wao. Mchezo huu kwanza uliandikwa kwa Kikikuyu na kutafsiriwa baadaye kwa lugha ya taifa — Kiswahili.

Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Show Buttons
Hide Buttons

Shop By Department

1
Hi there,
Do you have a list? Share it here and we will be happy to help...