Nguvu ya Sala by K.W.Wamitila

KSh563.00

In stock

Category:

Nguvu ya Sala ni riwaya inayosimulia maisha ya Susan Ngunze na babake Richard. Richard ni mkristo anayeshikilia imani kali zilizojengwa kwenye mtazamo wa dini yake. Watoto wake wanakulia katika mazingira ya kuhimizwa kutambua umuhimu wa ‘nguvu ya sala’. Je, Susan na wadogo zake wataufuata mwito huu?

Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Show Buttons
Hide Buttons

Shop By Department

1
Hi there,
Do you have a list? Share it here and we will be happy to help...