Mkuu: Hatima ya Kubuni by Hamad Simai

KSh383.00

In stock

Compare
Report Abuse
Category:

Wanasayansi, wanaramani mabingwa wameshindwa kutambua kilipokuwa kijiji cha Kubuni na kukiweka Juu ya uso wa dunia. Kile wanachojua ni kuwa kijiji chenyewe kilikuwepo, ila sasa hakijulikani kitovu chake. Mzee Pepo tu ndiye aliyeshuhudia kijiji kikitokomea. Anaelezea masaibu  yaliyokikumba kijiji hiki kwa namna itakayokuacha wewe msomaji ukistaajabu …


Notice: Trying to access array offset on value of type null in /home/pickabo1/public_html/wp-content/themes/pickabook/inc/frontend/entry.php on line 191
Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Sorry no more offers available
Show Buttons
Hide Buttons

Shop By Department

1
Hi there,
Do you have a list? Share it here and we will be happy to help...