Marudio Nyota ya Kiswahili KCSE by Kirubi,Adem

KSh800.00

In stock

Category:

Marudio Nyota ya Kiswahili KCSE ni kitabu murwa kilichoandaliwa kitaalam kwa lengo la kumwandaa na kumpa ujasiri mwanafunzi wa mazingira yoyote yale ili kuweza kuukabili na kufaulu katika mtihani wa kitaifa wa KCSE – Kiswahili.Mada, dhana na vipengee vyote vya silabasi mpya iliyoanza kutahiniwa mwaka 2006 vimemulikwa na kuwasilishwa kwa 
muhtasari wa hoja teule zitakazozisisimua na kuzichangamsha kumbukumbu za mwanafunzi. Maeneo ya silabasi yanayoelekea kuwa changamano yamepewa kipaumbele na mazoezi mbalimbali kutolewa. Vipengee vyote vinavyohusiana au kukaribiana vimefumbatwa katika eneo moja la kitabu kwa mfuatano wa kimantiki ili kukifanya kitabu kiwe rahisi kutumia. 
Majedwali na vielelezo mbalimbali vimetumika ili kuwasilisha dhana fulani kwa mkupuo utakaomwingia mwanafunzi akilini sawasawa.Kwa jumla mada zimepangwa kulingana na jinsi zitakavyotahiniwa katika karatasi mbalimbali (102/1, 102/2 na 102/3) na sampuli za mtihani wa KCSE pamoja na majibu kutolewa mwishoni.

Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Show Buttons
Hide Buttons

Shop By Department

1
Hi there,
Do you have a list? Share it here and we will be happy to help...