Maisha ya Siri na Hadithi Nyingine by Ngugi wa Thiongo

KSh452.00

In stock

Category:

Maisha ya Siri na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi unaojumuisha hadithi za kuvutia zinazozungumzia masuala ya kihistoria. Hadithi hizi zinadhihirisha ustadi wa Ngitigi wa Thiong’o wa kusimulia matukio ya kihistoria aliyoshuhudia katika ujana wake. Baadhi ya hadithi hizi zinatupa taswira ya mkinzano uliokuwapo enzi za ukoloni, kati ya utamaduni wa Kiafrika na ule wa mkoloni. Kwa mfano katika Mkutano Gizani mhusika mkuu anajipata kwenye njia panda ya aidha kupuuza mila za jamii yake na kumwoa mpenziwe au kuzingatia mila na kumwacha mpenzi huyo. Nusura mkinzano huu usababishe maafa.

Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Show Buttons
Hide Buttons

Shop By Department

1
Hi there,
Do you have a list? Share it here and we will be happy to help...