Kifo cha Mwalimu by Anduvate K.Mwavali

KSh650.00

In stock

Category:

… Ikiwa elimu ni ufunguo wa maisha, na walimu ndio wenye ufunguo huo, mbona wasifaidi mema yote ya elimu hiyo duniani?Wasemao husema eti ualimu ni mwito unaohitaji ukakamavu na maadili yasiyotikisika. Eti hakuna anayeweza kumlipa mwalimu hapa duniani. Malipo yake yameandaliwa mbinguni! Swali ni je, ni nani awezaye kuubeba mzigo wa mwalimu huku tumbo likiwa wazi.’ Je, wafanyikazi wengine hawatalipwa mbinguni?

Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Show Buttons
Hide Buttons

Shop By Department

1
Hi there,
Do you have a list? Share it here and we will be happy to help...