Fahali Mtoboa Siri by Bitugi Matundura

KSh215.00

In stock

Category:

Fahali Mtoboa Siri ni hadithi ya kuvutia kumhusu Kombo, mvulana mdogo anayejipata kapotelea msituni. Anaokolewa na Mzee. Jumbe, ambaye anampeleka kwake na kumtunza hadi anakua na kufikia umri wa kuwachunga mifugo wa Mzee huyo. Mzee Jumbe anapogundua kuwa Kombo anakumbuka kwao iliko, anahofia kuwa atapata hasara kubwa endapo Kombo ataondoka kwenda kwao hasa baada ya kumlea kwa miaka mingi. Anafanya mikutano ya kisirisiri kupanga njama na wake zake ili wamuue Kombo.

Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Show Buttons
Hide Buttons

Shop By Department

1
Hi there,
Do you have a list? Share it here and we will be happy to help...