Asali Chungu by Said Ahmed Mohamed

KSh522.00

Out of stock

Category:

Uchu wa kuonja na kutamkiwa, kuitegemea pesa na kudhani yaweza kufanya kila kitu, raha na ulevi wake, taadi na inda, umaskini na ufukara, ukweli na uongo, utajiri wa kitu na utajiri wa moyo … Mara dunia mara dini … Hadi mwisho ambapo siri za wote zinafichuka na ambapo wananchi wanaponyanyua mikono yao na kusema, “Ho! Basi tena!”, na kuthibitishwa kuwa Asali huweza kuwa Chungu.

Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Show Buttons
Hide Buttons

Shop By Department

1
Hi there,
Do you have a list? Share it here and we will be happy to help...