Access KCSE Revision Series Durusu Kiswahili by Kimani Njogu, Robert Olo…

KSh580.00

In stock

Compare
Report Abuse
Category:

Lengo kuu la kitabu hiki cha marudio ni kumwelekeza mwanafunzi katika kutambua mambo muhimu yanayostahili kusisitizwa katika mazingira ya kujitayarisha kwa mtihani. Waandishi wametanua na kudurusu upya dhana za kimsingi za lugha na fasihi ambazo huhitajika mara kwa mara na wanafunzi wanaojiandaa kwa mitihani ya kiwango cha shule za upili bila kujifunga na mahitaji ya silabasi za mpito. Utanuzi na udurusu huu umetekelezwa kistadi kwa kuzingatia dhana kuwa lugha ni chombo hai kinachobadilika kulingana na mazingira, nyakati na mahitaji ya jumuiya. Kila mada imeangazwa kwa kuzingatia utaratibu ufuatao:

Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Sorry no more offers available
Show Buttons
Hide Buttons

Shop By Department

1
Hi there,
Do you have a list? Share it here and we will be happy to help...